
HAPA ALIGOMA KUFUNGUA MACHO ILI TUSIMTAMBUE VIZURI

AKIIGIZA KUZIMIA BAADA YA UMATI WA WATU KUZINGIRA GARI LILILOKUA LIMEMBEBA

ALAMA YA "V" AMABAYO HUTUMIKA KUONYESHA CHEO CHA MUHUSIKA ILIKUA NI YA MASHAKA MATUPU BAADA YA KUWA NA MUONEKANO HUU WA VITAMBAA KUPINDWA NA KUONEKANA KABISA KUWA NI CHEO CHA KUGHUSHI

HAPA AKIWA KITUO KIKUU CHA POLISI KWAAJILI YA MAHOJIANOM NAHATUA MBALIMBALI ZA KISHERIA.
SASA TUKIMBILIE WAPI? NA WINGI HUU WA BIDHAA FEKI KAMA SIM, PASI , REDIO, TV NA FRIJI FEKI LAKIN SASA KUNA TRAFIKI FEKI?
No comments:
Post a Comment