Saturday, August 10, 2013

TAARIFA NYINGINE JUU YA SHEHIKH PONDA

kuna baadhi ya group zinataangaza kifo kwa shehe wetu jamani shehe bado ni mzima natoka kuongea na imamu wa msikiti wa mtambani shehe suleiman kuwa shehe ni mzima na anaendelea vizuri tunaomba hizi taharifa ziachwe maraa moja kumzushia shehe kifo 
SOURCE: ISLAMIC CENTER FOR RESEARCH

No comments:

Post a Comment