Tuesday, July 16, 2013

UCHOYO NOMA...Mama m1 alipakua chakula!

Ghafla akasikia mtu anapiga hodi, ikabidi afiche chakula chini ya kochi.

Mgeni alipoingia akaona moshi unafuka chini ya kochi, akauliza moshi wa nini huo?

Akajibu - mwenzangu utaiweza mipanya ya humu kwa bangi!?

No comments:

Post a Comment