Tuesday, July 16, 2013

TENDWA KUKIFUTA CHADEMA


Hatimaye msajili wa vyama vya siasa nchini, John Tendwa ameibuka na kusema sasa anaandaa kalamu yake kukifuta 
Chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA.
 
Katika Taarifa yake kwa vyombo vya habari muda mfupi uliopita Tendwa amesema CHADEMA wanataka kuanzisha 
kikundi cha mgambo ambacho ni kinyume na sheria, katiba ya nchi na sheria za usajili wa vyama.

No comments:

Post a Comment