Sunday, July 14, 2013

MARUDIO YA UCHAGUZI WA UDIWANI ARUSHA

HABAI KUTOKA VYANZO MBALIMBALI AMBACVYO SII VYA KUAMINIKA SANA VINA ASEMA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) KIMENYAKUA VITI VINNE NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KIMEAMBULIA 0. TUTAWAJULISHA MATOKEO ZAIDI KADIRI TUTAKAVYO PATA KUTOKA KWENYE VYANZO VYA KUAMINIKA..

KATA ZILIZOFANYA UCHAGUZI NI ELERAI, KIMANDOLU KALOLENI NA THEMI AMBAZO ZOTE ZIMEELEKEA CHADEMA

No comments:

Post a Comment