Monday, July 1, 2013

TRENI YA "MWAKYEMBE" YAPATA AJALI


Treni ifanyayo ruti za ndani ya Dar-es-salaam maarufu kama "mwakyembe" imepata ajali leo asubuhi baada ya kugongwa na fuso maeneo ya KAMATA. 


ajali hio ilio sababisha kuchelewa kuanza kwa safari zake za kawaida hivyo kusababisha usumbufu kwa watumiaji wa usafiri huo. huku minong'ono ikisema ilikua imesitisha safari zake kwasababu ya ujio wa OBAMA


Lakini baadae ilikuja kubainika ilikua ni ajali ndio ilio sababisha usumbufu huo.


No comments:

Post a Comment