Sunday, April 28, 2013

TETESI KUHUSU LEWANDOWSKI

Robert Lewandowski: No deal in place with Bayern Munich

TIMU YA BAYEN MUNICH IMEPINGA TETESI KUWA INAMNYATIA MUUAJI WA REAL MADRID KATIKA CHAMPIONS LEAGUE ROBERT LEWANDOWSKI.

TETESI ZINASEMA KUWA MSHAMBULIAJI HUYO AMESAINI MIKATABA MIWILI NA VINARA HAO WA BUNDES. MKATABA WA KWANZA AMBAO UNGEANZA MARA TU BAADA YA LIGI NA MWINGINE UNGEANZIA MAJIRA YA JOTO MWAKA 2014.

UKWELI NI KUWA  DORTMUND HAWAJA POKEA CHOCHOTE KUTOKA POPOTE KUHUSU LEWANDOWSKI LAKINI JITIHADA ZINAFANYIKA ILI TUMSAINISHE MKATABA MPYA BAADA YA HUU WA AWALI KUFIKIA UKINGONI ILISEMA TAARIFA KUTOKA BORRUSIA

No comments:

Post a Comment