Sunday, April 28, 2013

KIKWETE AWAKARIBISHA MARAIS WA AFRIKA MASHARIKIRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Kenya Mhe Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakati alipowasili leo jioni kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika jijini Arusha.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijijini Arusha. Picha na Freddy Maro

<

No comments:

Post a Comment