Sunday, April 28, 2013

CHAMPIONS LEAGUE KUMBAKIZA BALE SPURSNYOTA WA TIMU YA TOTTENHAM YA UINGEREZA AMESEMA ATAFIKIRIA KUBAKI IWAPO TIMU YAKE ITAPATA NAFASI YA KUSHIRIKI LIGI YA MABINGWA ULAYA. KAULI HII ILITOLEWA NA KOCHA NA MENEJA WA TIMU HIO ANDRE VILLAS-BOAS. "TUTAJITAHIDI KUPIGANA VYEMA ILI TUWEZE KUSHIRIKI KLABU BINGWA ILI TUWEZE KUKITUNZA KILICHO CHEMA (BALE)

No comments:

Post a Comment