Wednesday, April 24, 2013

MSAADA KWENYE TUTAHIZI PICHA TATU NIMEZIPIGA ZA HUYU MDUDU AMBAYE NIMESHINDWA KUMPATIA MAJIBU KUTOKANA NA UKWELI NDIO MARA YANGU YA KWANZA KUMUONA 

KWAHIO OMBI LANGU NI KUWA KWA YOYOTE MWENYE KUMJUA HUYU MDUDU NI NANI NA ANASIFA ZIPI ANIJULISHE TAFADHALI. 

USHAMBA SIO MZIGO

No comments:

Post a Comment