Friday, January 18, 2013

BAADA YA BP KUFUNGASHA SASA NI ZAMU YA BRITISH AIRWAYS
BAADA YA KUWA TANZANIA KWA KIPINDI CHA MIAKA 82, TOKA ENZI ZA BOAC, SHIRIKA LA NDEGE LA UINGEREZA YAANI BRITISH AIRWAYS LIMEAMUA KUITOSA RASMI TANZANIA,GLOBU YA JAMII INAWEZA KUTHIBITISHA!HABARI ZA UHAKIKA TOKA JIKONI ZINASEMA NDEGE YA MWISHO YA BRITISH AIRWAYS KUTUA TANZANIA ITAKUWA MACHI 29, 2013 WAKATI BOEING 767 YA SHIRIKA HILO AMBAYO NI KIJEBA (ZINAZOKUJA HUKU ZINA UMRI ZAIDI YA MIAKA 20) ITATUA KWA MARA YA MWISHO.

No comments:

Post a Comment