Friday, January 18, 2013

MENO YA TEMBO TANI 2 YAKAMATWA

MENO YA TEMBO YENYE UZITO WA TANI 2 YAMEKAMATWA NCHINI KENYA NA MAOFISA WA FORODHA. MENO HAYO YA TEMCO YALIKUA YAMEWEKWA KWENYE KONTENA LA MARUMARU MAARUFU KAMA TILES. MENO HAYO AMBAYO KWA MAELEZO YAMETOKEA TANZANIA NA RWANDA YAMEKAMATWA YAKIWA NJIANI KUELEKEA BARA LA ASIA KATIKA NCHI ZA CHINA NA INDONESIA AMBAPO HUWA NA SOKO KUBWA.

INASADIKIWA HIKI NI KIASI KIKUBWA SANA CHA MENO HAYO YA TEMBO KUKAMATWA TANGU KUANZA KWA KAMATA KAMATA HIO.

Tusk, tusk: Customs officers had impounded 638 pieces of elephant tusk in a shipping container purporting to be carrying 'decoration stones'

 Heavy load: A worker uses a forklift to arrange a section of the elephant tusks recovered from a container at the Kenyan port city of Mombasa

Piled high: The latest haul is thought to have arrived in Kenya from Rwanda and Tanzania

HABARI ZAIDI ZINAPATIKANA HAPA

No comments:

Post a Comment