Friday, September 7, 2012

ONYO KWA WAKANDARASI


WAZIRI WA UJENZI , DK JOHN MAGUFULI AMESEMA ATAWACHUKULIA HATUA WAHANDISI WOTE WATAKAOBAINIKA KUKIUKA MAADILI YA TAALUMA ZAO. MBALI NA KUWAPA ONYO ALIWATAKA  KUJENGA MIUNDOMBINU IMARA KWA KUZINGATIA VIWANGO, UADILIFU NA KWA GHARAMA ZISIZO NA SHAKA.

AKIZUNGUMZA KWA NIABA YA DK MAGUFULI, KATIBU MKUU WA WIZARA HIYO, BALOZI 


HERBERT MRANGO 

NI LAZIMA WAHANDISI WAZINGATIE  MAADILI YA TAALUMA YAO IKIWA NI  PAMOJA NA WALEDI NA UADILIFU.

 “WANACHAMA AU WANATAALUMA WENGINE MNAWAJIBU WA  KUWAFICHUA WALE WOTE WANAOVUNJA MIIKO ILIYOWEKWA NA WANATAALUMA  WENYEWE KWA MISINGI YA KUIMARISHA UWALEDI KATIKA TAALUMA HII,”

No comments:

Post a Comment