Tuesday, September 25, 2012

MTIKILA ASHINDA KESIMCHUNGAJI WA CHAMA CHA DEMOCRATIC PARTY {DP} MESHINDA KESI YA UCHOCHEZI ILIOKUA IKIMKABILI BAADA YA KUTOA WARAKA WENYE LENGO LA UCHOCHEZI PAMOJA NA KUMWITA RAISI KIKWETE KUWA NI GAIDI.


UAMUZI HUO ULITOLEWA NA HAKIMU MKAZI SUNDI FIMBO IKIWA NI SIKU CHACHE BAADA YA UPANDE WA MASHTAKA KUFUNGA USHAHIDI WAKE BAADA YA KUWALETA MASHAHIDI WATANO KUTOA USHAHIDI WAO.

No comments:

Post a Comment