Tuesday, September 25, 2012

AMRI KUMI ZA SIMU
1.HIYO NDIYO SIMU YAKO USITUMIE SIMU YA MTU MWINGINE.
2.USIZITAJE HOVYO NAMBA ZAKO ZA SIMU.
3.SHIKA KIKAMILIFU SIMU YAKO UWAPO NJIANI.
4.HESHIMU WANAOKUPIGIA UPATE KUENDELEA KUWA MJINI.
5.USIBIP.
6.USIOMBE SALIO.
7.USITUME TAFADHALI NIPIGIE.
8.USIKATE SIMU USIYOPIGA WEWE.
9.USITAMANI KUCHAJIA CHAJA ISIYO YAKO.
10.USITAMANI SIMU YA MTU MWINGINE.
ukishika amri hizi utaishi mjini milele,na ukishindwa uza SIMU urudi kijijini.

No comments:

Post a Comment