Tuesday, September 18, 2012

MSEMAJI WA BOKO HARAMU AUWAWAJESHI NCHINI NIGERIA LINASEMA KUWA LIMEMUUA MTU ANAYESHUKIWA KUWA MSEMAJI WA KUNDI LA WAPIGANAJI WA KIISILAMU LA BOKO HARAM.
KWA MUJIBU WA JESHI HILO, WANACHAMA WENGINE WAKUU WA KUNDI HILO PIA WALIKAMATWA KATIKA MSAKO MKALI WA JESHI ULIOFANYWA ,MAPEMA LEO KASKAZII MWA MJI WA JIMBO LA KANO.
KUNDI HILO LA BOKO HARAM BADO HALIJATOA KAULI YOYOTE KUHUSIANA NA MAUAJI HAYO YANAYODAIWA KUFANYWA NA JESHI.

No comments:

Post a Comment