Tuesday, September 18, 2012

JERRY MURO "ATOKELEZEA" BAVICHAMWANDISHI WA HABARI NA MTANGAZAJI WA ZAMANI WA TBC, JERRY MURO ( KUSHOTO) AKITO SALAMU ZAKE KWA WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI CHA BAVICHA TAIFA ILIYOKETI MJINI MOROGORO KUANZIA SEPTEMBA 14 HADI 18, MWAKA HUU.


KIONGOZI WA VIJANA NCHINI KUPITIA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI -CHADEMA JOHN HECHE , SEPTEMBA 17, 2012 ALIFUNGUA KIKAO CHA KAMATI YA UTENDAJI YA BAVICHA KILICHOHUDHURIWA NA WAJUMBE KADHAA KUTOKA MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA NA VISIWANI.KIKAO HICHO KILIPANGA KUJADILI AJENDA MBALIMBALI ZA VIJANA NA BAADAYE KUFIKIA KUTOA TAMKO LA PAMPOJA KUHUSIANA NA MASUALA YA KISIASA, KIJAMII NA KIUCHUMI.HATA HIVYO KATIKA KIKAO HICHO , BAVICHA KUPITIA MWENYEKITI WAKE WA TAIFA , WALIMKARIBISHA MWANDISHI WA HABARI NA MTANGAZANI WA ZAMANI WA TBC, JERRY MURO ILI AWEZE KUWASALIMIA WA WAJUMBE WA BARAZA HILO WALIOANZA KUKUTANA TANGU SEPTAMBA 14 HADI 18, MWAKA HUU.KATIKA SALAAMU ZAKE , MURO ALISEMA, YENYE NI MWANAHARAKATI NA MTU ANAYEPENDA KUSEMA UKWELI, HIVYO KWAKE MTU KAMA HUYO NI LAZIMA AMUUNGE MKONO KAMA ILIVYO KWA VIJANA WA BAVICHA WANAVYOSIMAMIA KUSEMA UKWELI NA KUAMUA KUWAUNGA MKONO.JERRY MURO MUDA WOTE ALIKUWA AKIZUNGUMZA KWA HISIA KALI HUKU AKISHANGILIWA KWA SHANGWE KUU NA VIJANA HAO WA BAVICHA

No comments:

Post a Comment