Tuesday, September 18, 2012

MALEMA AZUIWA KUHUTUBIA WACHIMBA MADINIMWANASIASA MATATA NCHINI AFRIKA KUSINI JULIUS MALEMA AMEZUIWA KUWAHUTUBIA WAFANYAKAZI WA MIGODINI WANAOGOMA KATIKA MGODI WA MARIKANA.
TAKRIBAN WACHIMBA MIGODI 2,000, WALIKUSANYIKA KATIKA UWANJA MMOJA ULIOKO KARIBU NA MGODI HUO KASKAZINI MAGHARIBI MWA JOHANNESBURG KUMSIKILIZA MALEMA.
MIGOMO YA WACHIMBA MIGODI AMBAYO INAKUMBA NCHI HIYO TAYARI IMEATHIRI UZALISHAJI WA MADINI YA DHAHABU NA PLATINUM KATIKA NCHI HIYO AMBAYO INA UTAJIRI MKUBWA WA MALIASILI.

No comments:

Post a Comment