Monday, September 17, 2012

BAADHI YA MADAKTARI WAIANGUKIA SERIKALI



MWENYEKITI WA JUMUIYA YA MADAKTARI WALIOATHIRIKA NA MGOMO DR. PAUL SWAKALA (KATIKATI)

WANAODAIWA KUWA NI MADAKTARI WANAOFANYAKAZI CHINI YA USIMAMIZI WA MADAKATARI BINGWA (INTERN DOCTORS), WAMEMWANGUKIA RAIS JAKAYA KIKWETE HUKU WAKIMWOMBA RADHI KWA USHIRIKI WAO KATIKA MGOMO WA MADAKTARI ULIOSABABISHA MAAFA KWA BAADHI YA WAGONJWA.

KWA UPANDE MWINGINE WAMEKIJUA JUU CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA (MAT) KUWA KIMEWASALITI KATIKA KUTATUA MATATIZO YAO KWA SASA.
HATA HIVYO, WAMEOMBA RADHI KWA WANANCHI WALIOATHIRIKA NA MGOMO HUO KWA USUMBUFU ULIYOSABABISHWA NA MGOMO HUO.

4 comments:

  1. kwani walikuwa na kosa gani mbona madai yao yalikuwa ya msingi,

    ReplyDelete
  2. kwani walikuwa na kosa gani mbona madai yao yalikuwa ya msingi,

    ReplyDelete
  3. je mnaomba msamaha wa kweli au ni maisha yamewagonga sasa mwajifanya mmetambaua hebu acheni unafiki fikirini kwanza

    ReplyDelete
  4. Huu sasa uwendawazimu mkubwa na kutokujitambua,mimi nadhani hawastahili kusamehewa bali wafikishwe mahakamani kwani wenzao waliogomo wanaendelea kutetea msimamo wao kwani hawakuwa wendawazimu kipindi hicho ,na hata sasa wana aklili zao timamu.tofauti na hawa wanafiki,maana ukweli huu hapa bado dawa hazipo ,wagonjwa wanalala wawili kitandA kimoja ,madokta waomba rushwa kibao,nadhani hawa waomba rushwa ndio ambao hawagomi maana hawahitaji uboreshaji wa huduma ili wao waendelea kuwachuna wagonjwa aibu tupu hospitali zetu za umman

    ReplyDelete