MWENYEKITI
WA JUMUIYA YA MADAKTARI WALIOATHIRIKA NA MGOMO DR. PAUL SWAKALA (KATIKATI)
WANAODAIWA
KUWA NI MADAKTARI WANAOFANYAKAZI CHINI YA USIMAMIZI WA MADAKATARI BINGWA
(INTERN DOCTORS), WAMEMWANGUKIA RAIS JAKAYA KIKWETE HUKU WAKIMWOMBA RADHI KWA
USHIRIKI WAO KATIKA MGOMO WA MADAKTARI ULIOSABABISHA MAAFA KWA BAADHI YA
WAGONJWA.
KWA UPANDE
MWINGINE WAMEKIJUA JUU CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA (MAT) KUWA KIMEWASALITI
KATIKA KUTATUA MATATIZO YAO KWA SASA.
HATA HIVYO,
WAMEOMBA RADHI KWA WANANCHI WALIOATHIRIKA NA MGOMO HUO KWA USUMBUFU
ULIYOSABABISHWA NA MGOMO HUO.
kwani walikuwa na kosa gani mbona madai yao yalikuwa ya msingi,
ReplyDeletekwani walikuwa na kosa gani mbona madai yao yalikuwa ya msingi,
ReplyDeleteje mnaomba msamaha wa kweli au ni maisha yamewagonga sasa mwajifanya mmetambaua hebu acheni unafiki fikirini kwanza
ReplyDeleteHuu sasa uwendawazimu mkubwa na kutokujitambua,mimi nadhani hawastahili kusamehewa bali wafikishwe mahakamani kwani wenzao waliogomo wanaendelea kutetea msimamo wao kwani hawakuwa wendawazimu kipindi hicho ,na hata sasa wana aklili zao timamu.tofauti na hawa wanafiki,maana ukweli huu hapa bado dawa hazipo ,wagonjwa wanalala wawili kitandA kimoja ,madokta waomba rushwa kibao,nadhani hawa waomba rushwa ndio ambao hawagomi maana hawahitaji uboreshaji wa huduma ili wao waendelea kuwachuna wagonjwa aibu tupu hospitali zetu za umman
ReplyDelete