Monday, September 24, 2012

KUJIUZULU BWANA KINANATAARIFA BADO ZINAENDELEA KUNHYETISHA KUWA BWANA KINANA ALIANDIKA BARUA KUSHUTUMU HALI YA SIASA UCHWARA NA MAKUNDI INAYOENDELEA NDANI YA CHAMA TAWALA. LAKINI KATIKA KUTOA MAELEZO KWANJIA YA MDOMO ALISEMA. ""SIJAGOMBEA KWAKUWA MIAKA 25 YA KUSHIRIKI KATIKA KAMATI KUU NADHANI INATOSHA NA NI VIZURI KUNG'ATUKA. NAAMINI KUNA WANACCM WENGI WAZURI WENYE SIFA NA UWEZO WA KUONGOZA CHAMA. UONGOZI NI KUPOKEZANA VIJITI NA NI WAKATI WANGU KUKABIDHI WENGINE KIJITI HIKI" LAKINI 


JE? HICHI NDICHO KILICHO ANDIKWA KWENYE BARUA YAKE YA KUNG'ATUKA?

TUTAENDELEA KUWAPA MUENDELEZO KADIRI TUNAVYOPATA HABARI ZAID

No comments:

Post a Comment