Wednesday, September 12, 2012

DAWA KUTOKA KWA MZIZI MKZVU WA JF

Say no to Angioplasty

Natural therapy for opening the veins of Heart.

JIUSI YA LIMAU KIKOMBE 1

TANGAWIZI JUISI KIKOMBE 1

VITUNGUU SAUMU JUICE KI KOMBE 1

SIKI YA APPLE (TUFAHA) KI KOMBE 1

CHANGANYA YOTE HAPO JUU NA CHEMSHA KWENYE JOTO LA CHINI, TAKRIBAN NUSU SAA, ANGALIA MPAKA IBAKI VIKOMBE 3, TOA JIKONI NA IPOE IWE BARIDI.

BAADA YA BARIDI, HIYO DAWA CHANGANYA NA VIKOMBE 3 YA ASALI YA ASILI NA KUITUNZA KATIKA CHUPA.

KILA ASUBUHI KABLA YA KIFUNGUA KINYWA UWE UNAKUNYWA HIYO DAWA KWA KUTUMIA KIJIKO KIKUBWA CHA KULIA WALI KIMOJA


DAWA HII KAZI YAKE ITAFUNGUWA MISHIPA YAKO YA MOYO UTAPONA KABISA.

HAKUNA HAJA YA KUTUMIA DAWA INGINE TENA. CHANZO MZIZIMKAVU


MAELEZO ZAIDI BOFYA HAPA

1 comment: