Tuesday, September 11, 2012

TRENI KATIKA MAJARIBIO


Treni ya Reli ya Kati ikipita katika eneo la Tabata ilipokuwa katika majaribio ya kubeba abiria wa jijini Dar es Salaam kwa kufanya safari kuanzia Stesheni mpaka Ubungo na kurudi Stesheni. Treni hiyo inatalajiwa kuanza rasmi huduma hiyo mwezi ujao. Picha na Edwin Mjwahuzi

No comments:

Post a Comment