Saturday, September 1, 2012

DILI ZA USAJILI ZILIZO KAMILIKAMICHAEL ESSIEN ASAJILIWA REAL MADRID KWA MKOPO. AKITOKEA CHELSEA.


STEVE N'ZONZI ASAJILIWA STOKE CITY AKITOKEA BLACKBURN ROVERS KWA MKATABA WA MIAKA 4MAURICE EDU AMETUA STOKE CITY AKITOKEA CLUB YA RANGERS YA SCOTLAND KWA MAKTABA WA MIAKA MITATU.YOSSI BENAYOUN AMETUA WEST HAM KWA MKOPO AKITOKEA CHELSEADIOGO ROSADO AMETUA BLACKBURN ROVERS AKITOKEA SPORTING LISBON KWA MKATABA WA MIAKA MITATUNUNO HENRIQUE AMETUA BLACKBURN ROVERS AKITOKEA ACADEMICA DE  COIMBER KWA DILI LA MIAKA MITATU
GRZEGORZ SANDOMIERSKI AMETUA BLACKBURN AKITOKEA TIMU YA GENKIMATIJA NASTASIC AMETUA MANCHESTER CITY AKITOKEA FIORENTINA ANASIFIKA KWA NAFASI YA ULINZICLINT DEMPSEY AMETUA TOTTENHAM HOTSPURS AKITOKEA FULHAMLUCA TONI AMETUA FIORENTINA AKITOKEA BAYEN MUNICHROQUE SANTA CRUZ AMETUA MALAGA AKITOKEA MANCHESTER CITY KWA MKOPO
No comments:

Post a Comment