Saturday, September 1, 2012

TABIA HIZI NI HATARI KWA USALAMATABIA HII YA KUDANDIA GARI KAMA ALIVYO ONEKANA KIJANA HUYU NI HATARI NA HUWEZA KUMSABABISHIA MUHUSIKA KIFO AU ULEMAVU
TABIA HII YA KUFUNGULIA MAFUTA WAKATI WA FOLENI KWENYE MAKUTANO YA BARABARA MBALIMBALI JIJINI DAR-ES-SALAAM NI HATARI KWANI HUWEZA KUZUA MLIPUKO ENDAPO MAFUTA HATO YATAKUTANA NA CHANZO CHA MOTO KAMA SIGARA AU KIBERITI.

HALI HII HUWEKA MAISHA YA RAIA WENGINE WASIO NA HATIA KATIKA HATARI

No comments:

Post a Comment