Friday, August 31, 2012

MAFAO YA ILIOKUA JUMUIA YA AFRICA MASHARIKIPICHA YA MMOJA YA WAZEE WASTAAFU WA ILIOKUA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI AKIMUOMBA NA KUMUULIZA MUNGU KAMA WANASTAHILI KULIPWA MAFAO YAO. AU LA. LAKIN AKASEMA KUWA AMEPATA ISHARA KUWA WANA STAHILI KULIPWA

MAONI YANGU
KULALAMIKA HUKU KWA WAZEE HAWA KUNAWEZA KUTUFANYA TUSIBARIKIWE KAMA TAIFA HIVYO NI VYEMA SERIKALI IKACHUKUA HATUA MADHUBUTI ZA KUWALIPA.

No comments:

Post a Comment