Sunday, July 8, 2012

WAKAZI WA MTAA MUHEZA KATIKA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA


BERNARD KOMBA
BEN KOMBA/PWANI-TANZANIA/08-07-2012/10:30
WAKAZI WA MTAA MUHEZA KATIKA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA, WAMEKUSANYA JUMLA YA SHILINGI MILIONI 1.3, KWA AJILI YA KUREKEBISHA ENEO KOROFI KATIKA BONDE LA MKATAJIKA, BAADA YA KILIO CHA MUDA MREFU KWA HALMASHAURI KUKARABATI BARABARA KATIKA KATA YA MAILIMOJA KUGONGA MWAMBA.

MWENYEKITI WA SERIKALI YA MTAA WA MUHEZA BW. MOHAMED LINGOWECHE AMESEMA WAKAZI WA MTAA WAKE WAMECHUKUA HATU HIYO KUFUATIA MAOMBI YAO YA KUCHONGEWA BARABAR KATIKA KATA KAMA KIPAUMBELE KATIKA KATA YAO KUTOPATA MAJIBU MARIDHAWA, ILI HALI WAO WAKIENDELEA KUTAABIKA KATIKA MSIMU WA MVUA.

No comments:

Post a Comment