Friday, July 6, 2012

RVP: NIMEFIKIRI KWA KINA.......................


 

SIKU ZA ROBIN VAN PERSIE NDANI YA KIKOSI CHA ARSENAL ZIMEANZA KUHESABIKA BAADA YA KUKATAA KUONGEZA MKATABA WAKE.MKATABA WA NAHODHA VAN PERSIE UNAMALIZIKA MWAKANI HIVYO UAMUZI WAKE WA KUKATAA KUSAINI MKATABA MPYA SASA UTAMFANYA MWISHONI MWA MSIMU UJAO KUWA MCHEZAJI HURU.
''BINAFSI NIMEKUWA NA MSIMU MZURI, LAKINI MAGOLI YANGU HAYAJAWEZA KULETA UBINGWA NA KUIRUDISHA TIMU KATIKA ENZI ZAKE ZA KUTWAA MATAJI,'' ALIANDIKA VAN PERSIE KWENYE TOVUTI YAKE. ''NIMEFIKIRIA KWA MUDA MREFU KUHUSU HILI, LAKINI MWISHO NIMEAMUA KUTOONGEZA MKATABA WANGU HAPA.''

No comments:

Post a Comment