Friday, July 6, 2012

PINDA ATOA ONYO KWA WALANGUZI


 

MHE, WAZIR MKUU KAYANZA PITA PINDA AMEONYA WAFANYABIASHARA WANAOJIPINDISHIA BEI ZA VYAKULA HOVYO PUNDE TU TUKARIBIAPO MSIMU WA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI.. NA AMETOA TAMKO LA SERIKALI KUWA SI VYEMA WAFANYABIASHARA KUFANYA HIVYO..!

No comments:

Post a Comment