Saturday, July 7, 2012

CHAMA CHA "WAJENGA UCHUMI" CHAANZISHWA

BAADA YA WATU WANAO TUMIA KILEVI AU KWA JINA MAARUFU WALEVI KUCHOSHWA NA MADHILA YA KUONGEZEWA KODI KILA MWAKA ILI SERIKALI IJIPATIE MAPATO KATIKA BAJETI, WAMEAMUA KUANZISHA CHAMA CHAO ILI KUPIGANIA HAKI YAO,. CHAMA CHAO WAMEKIITA "CHAMA CHA WANYWA POMBE KWA STAHA TANZANIA AU (TRBDA) CHAMA HICHO TAYARI KIMESAJILIWA NA LENGO LAO KUBWA NIKUPAMBANA NA SERIKALI JUU YA KUPANDA KWA KODI KILA MWAKA. “SISI TUNACHOTAKA NI BEI YA BIA KUSHUKA AU KUBAKIA PALEPALE (SH1,700). HILI NI SUALA NYETI NA HATARI KULIKO WATU WANAVYOLIFIKIRIA SASA,” ANASEMA RAIS WA TRBDA, GASISI MAHUTI.

ANAONGEZA; “CHAMA KIMESAJILIWA MEI 22 MWAKA HUU, HIVYO TUNA NGUVU YA KISHERIA KUFANYA KAZI NA KUTETEA MASLAHI YA WANACHAMA WETU.

No comments:

Post a Comment