Thursday, June 21, 2012

WAZIRI MKUU KUKAMATWA


JAJI MMOJA NCHINI PAKISTAN AMETOA KIBALI CHA KUKAMATWA KWA MAKHDOOM SHAHABUDDIN, AMBAYE AMETAJWA NA SERIKALI YA NCHI HIYO KAMA MGOMBEA ANAYEUNGWA MKONO NA WENGI KUWA WAZIRI MKUU MPYA.
KIBALI HICHO KIMEHUSIANA NA UAGIZAJI WA DAWA ZA HOSPITALINI WAKATI SHAHABUDIN AKIWA WAZIRI WA AFYA.
BWANA SHAHABUDDIN NI MMOJA WA MAAFISA WAKUU WA CHAMA CHA PAKISTAN PEOPLE'S PARTY AMBACHO KINAONGOZA SERIKALI YA SASA YA MSETO.
BUNGE LA NCHI HIYO LINATARAJIWA KUMUIDHINISHA RASMI HAPO KESHO KUWA WAZIRI MKUU.
UAMUZI HUO WA MAHAKAMA NI TUKIO LA HIVI KARIBUNI, LINALOTHIBITISHA UHASAMA KATI YA IDARA YA MAHAMA NA SERIKALI YA NCHI HIYO.

No comments:

Post a Comment