Thursday, June 7, 2012

WATU 10 WAKUWAANGALIA KOMBE HILI LA MATAIFA YA ULAYA (EURO 2012)


SEBASTIAN GIOVINCO - ITALY
KIJANA HUYU NI MFUPI KULIKO MESSI KWA INCHI 2 LAKINI NI MATATA KWELIKWELI. IJAPOKUA HAJAFANIKIWA SANA KUZIVUTIA TIMU ZA UINGEREZA LAKINI ALIYOYAFANYA YANAVUTIA. AMEKWISHA FUNGA GOLI 15. NA KUSAIDIA GOLI ZINGINE 13 KATIKA MECHI 36 ALIZOCHEZA. ANAUWEZO MKUBWA WA KUKAA NA MPIRA NA KUFUNGA PIA. TUSUBIRI TUONEEE!


YAROSLAV RAKITSKY - UKRAIN


KINDA HUYU WA MIAKA 22, ALIPANDISHWA KUTOKA TIMU NDOGO YA SHAKHTAR DONETSK KUFUATIA KUONDOKA KWA DMYTRO CHYGNYNSKIY KUELEKEA BARCELONA, HIVYO YAROSLAV IKAMPASA ACHUKUE NAFAS YAKE KAMA KIUNGO. HIVYO WAINGEREZA WANAKAZI KUBWA YAKUFANYA WATAKAPOKUTANA NA TIMU YA UKRAIN...JORDI ALBA - SPAIN

DOGO HUYU ALIKUA WINGA LAKINI KWA SASA ANAFANYIKA KAMA KIUNGO MSHAMBULIAJI KUTOKANA NA UWEZO WAKE MKUBWA WA KUSHAMHULIA NA KUSAIDIA UPATIKANAJI WA MAGOLI KAMA CHACHU YA USHINDI.KEVIN STROOTMAN - HOLLAND.HUYU NI DOGO AMBAYE ANAVIZIWA NA MAN UTD JAPO KIMYAKIMYA KWANI NDIE ANAYE DHANIWA KUCHUKUA NAFASI YA NIGEL DE JONG KUTOKANA NA HALIYAKE YA UWANJANI KWA KUA NI MWENYE NGUVU NA MPANGAJI MZURI WA MASHAMBULIZI.ALAN DZAGOEV - RUSSIA

Alan Dzagoev Alan Dzagoev of Russia in action during the EURO 2012, Group B qualifier between Slovakia and Russia at the MSK Zilina stadium on October 7, 2011 in Bratislava, Slovakia.


NI MCHEZAJI AMBAYE NI TEGEMEO KWA URUSI NA INAONEKANA KAMA MJUMUISHO WA YEYE PAVYLICHENKO  PAVEL POGREBNYAK NA ALEKSANDR KERZAKOV UTAKUANI MJUMUIKO WANYEMANUFAA KWA URUSI ILI IWEZE KUFANYA VIZURI INAHITAJI AINA YA KIUNGO MSHAMBULIZI KAMA ALIVYO BWANA MDOGO HUYU.OLIVIER GIROUD - FRANCE
KINDA HUYU ANAYEWANIWA NA ARSENAL NI MSHAMBULIZI MZURI AKITEGEMEA KUCHEZA MBELE YA KARIM BENZEMA, UWEZO WA KUKIMBIA KUMILIKI MPIRA PASI ZA MWISHO ZA UHAKIKA ZINAPATIKANA KWAUHAKIKA KUTOKA KWA KIJANA HUYU

TUTAENDELEA.................................

No comments:

Post a Comment