Friday, June 8, 2012

MUENDELEZO WA WACHEZAJI WA KUWAFUATILIA EURO 2012


MATS HUMMELS - GERMANY

 

MLINZI KUTOKA CLUB YA BORUSSIA DORTMUND, ANSIFA ZA KUWA MLINZI MZURI KUTOKANA NA NAMNA ANAVYO WAPANGA MABEKI WENZAKE, PIA NI MREFU HIVYO ATAKUA MSAADA MKUBWA KWENYE KUZUIA MIPIRA YA JUU.ANAKIWANGO KIZURI NA TUNATARAJIA MAKUBWA KUTOKA KWAKE.


ROBERT LEWANDOWSKI - POLAND


GOLI 22 , MBINU ZA UHAKIKA MWEPESI WA KUFIKIRI PIA NI MWENYE USHIRIKIANO UWANJANI...................


CHRISTIAN ERIKSEN - DENMARK

ANAMIAKA 22 ALIKUWEMO KWENYE WORLD CUP 2010 LAKINI HAKUFANYA MAKUBWA. ANATOKEA CLUB YA AJAX YA UHOLANZI ANAKAZIKUBWA KUONYESHA UWEEZO WAKE HASA IKIZINGATIWA GROUP B AMBALO KIMUONEKANO NDILO KUNDI LA KIFO LILIWA NA TIMU VIGOGO NA WACHEZAJI WENYE VIPAJI VYA HALI YA JUU.MARIO GOTZE - GERMANY


MCHEZAJI KUTOKA 
BORUSSIA DORTMUND MKALI LAKIN MAJERAHA YAKIMUWEKA NJE YA UWANJA
LAKIN KWA SASA AMEITIKIA MWITO KUTOKA KWA KOCHA WAKE LOW NA YUPO TAYARI KUTHIBITISHA UWEZO WAKE IKIWA NA KUISAIDIA TIMU YAKE YA TAIFA.

No comments:

Post a Comment