Thursday, June 21, 2012

WALIOWEKEWA PINGAMIZI YANGA WAPETAWAGOMBEA WA NAFASI MBALIMBALI KATIKA KLAB YA SOKS AYA YANGA YA JIJINI DAR-ES-SALAAM, JANA WALIPITA SALAMA SALMINI KATIKA CHUJIO BAADA YA KUWEKEWA PINGAMIZI LA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI KLABUNI HAPO.
WALIOKUA WAMEWEKEWA PINGAMIZI NI YUSUF MANJI, ALLY MAYAY, KEVELA NA CLEMENT SANGA.
HATUA HII IMEFIKIWA BAADA YA WALIO WEKA MAPINGA MIZI KUSHINDWA KUTHIBITISHA UHALALI WA MAPINGAMIZI YAO.

No comments:

Post a Comment