Thursday, June 21, 2012

MTEI NA MAONI YA BAJETI
AKITOA MAONI YAKE JUU YA BAJETI YA SERIKALI YA MWAKA HUU, MTEI ALISEMA BAJETI HIYO HAINA JIPYA KWA KUWA HAISHUGHULIKII MATATIZO NA KERO ZA WANANCHI. HAIWEZI KUKABILINA NA MFUMUKO WA BEI UNAOLIKABILI TAIFA.  NCHI IPO NJIA PANDA, HALI AMBAYO NI HATARI KWA KUWA NI MZIGO KWA TAIFA NA LINAZIDI KUONGEZEKA KILA MWAKA.

No comments:

Post a Comment