Thursday, June 21, 2012

MHE PINDA NA HATIHATI ZA KUINUSURU BAJETI

BAADA YA KUTHIBITIKA KUWA BAJETI YA MWAKA HUU 2012 - 2013 KUWA NA KASORO NYINGI KIASI CHA KUTISHIA KUKWAMA, WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AMEONEKANA KUTAKA KUINUSURU BAJETI HIYO MARA KADHAA IKIWEMO KUWAWEKA WABUNGE WA CCM KIKAO NA KUWAONYA JUU YA KUTOKWAMISHA BAJETI HIYO, AMBAPO INASEMEKANA YA KWAMBA KIKAO HICHO LICHA YA KUWAKUTANISHA WANACHAMA WA CCM PEKEE KILIKUA MOTO KIASI AMBACHO KUNA BAADHI YA WABUNGE WALITAMKA KUWA WAPO TAYARI KUTIMULIWA UWANACHAMA KULIKO KUIUNGA MKONO BAJETI HIYO. LAKIN SAFARI HII MHE PINDA AMEAMUA KUUNDA KAMATI YA MAWAZIRI 6 ILI KUJARIBU KUAINISHA VYANZO VINGINE VYA MAPATO.
HILI LINAKUJA BAADA YA WABUNGE WENGI KUPINGA BAADHI YA KODI IKIWEMO YA NYONGEZA KATIKA MUDA WA MAONGEZI WA SIMU NA ILE YA KUWATOZA WAENDESHA PIKIPIKI ALMAAARUFU BODABODA

 

No comments:

Post a Comment