Monday, June 18, 2012

WAISLAMU WAVAMIA KIWANJA CHA MKRISTO NA KUJENGA MSIKITI KIBAHA


Ben Komba/Pwani-Tanzania/06/17/2012/19:39:09


WAKATI SERIKALI IKIJIFANYA KUSHTUSHWA NA KILICHOTOKEA ZANZIBAR, HAPA MJINI KIBAHA SAKATA LA MKRISTO KUPORWA KIWANJA NAMBA 65 WAISLAMU NA KISHA KUJENGA MSIKITI KINGUVU BADO LINAPIGWA DANADANA NA MAMLAKA HUSIKA, HALI IMEZIDI KUWA MBAYA BAADA YA WAISLAMU HAO AMBAO WANADAI WAMEPEWA RUKSA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUJENGA ENEO HILO MSIKITI, KINYUME CHA RAMANI YA ENEO HILO KUANZA KUVAMIA MAKAZI AMBAYO WAMEYAKUTA NA KUFANYA VITIMBI.
 
PAMOJA NA JUHUDI YA MJANE EUGENIA YOMBAYOMBA KUFUATILIA HUKO NA HUKO KATIKA MAMLAKA MBALIMBALI KATIKA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA NA MAHAKAMA YA ARDHI NA KUSHINDWA, HALI YA KUWEPO KIONGOZI WA JUU ANAYESHINIKIZA KUPORWA KWA KIWANJA CHA MAMA HUYO WA KIKRISTO IMEONEKANA, NA HUKU MAMLAKA HUSIKA ZIKIENDELEA KUKAA KIMYA NA KULIACHA BALAA HILO LIKIIANGUKLIA FAMILIA HIYO AMBAYO KWA SASA INAISHI KATIKA MASHAKA MAKUBWA KUTOKANA NA WAISLAMU KUWA WATU WA KULAZIMISHA MAMBO NA SERIKALI IKIWAOGOPA KATIKA HALI INAYOONYESHA DHAHIRI SERIKALI KUSHINDWA HATA KABLA YA MAPAMBANO KAMILI KUANZA.
 
KWA MKRISTO YOYOTE MAKINI AKAE MACHO NA WAKATI WA KUITEGEMEA SERIKALI KUTOA ULINZI KWA WAKRISTO UMESHAPITA,  KWANI UPOLE UKIZIDI SANA NI UDHAMBI, KWANI VITABU VITAKATIFU VINATUAMBIA TUWE WAPOLE LAKINI TUSIWE WAPOLE SANA NA TUWE WAKALI LAKINI NAVYO KWA KADIRI SIO ILE YA KISHETANI YA KUUA WATU WASIO NA HATIA ETI KWA KISINGIZIO CHA DINI.
 
KWA KWELI WAKRISTO MPAKA SASA NAVYOANDIKA MAKALA HII FUPI NGUVU ZA WANAYEDAI WANAMTEGEMEA TUMEZIONA NGUVU YAKE KATIKA KUWAKANDAMIZA UKRISTO NA WAKRISTO KWA KILE WENYEWE WANACHODAI KUMJENGEA HOFU MTU AMBAYE SI WA IMANI YAKO, KWA USAIDIZI WA TAASISI YA KIISLAMU YA WAQ UL ASR ILIYOPO MJINI KIBAHA AMBAYO INATUMIA FEDHA ZAKE KUUNGA MKONO MAMBO KINYUME CHA TARATIBU KWA KUTUMIA UISLAMU, KWA KIASI KIKUBWA WAMEFANIKIWA NA WATAENDELEA KUFANIKIWA TOKA SERIKALI KUPITIA BAADHI YA WATENDAJI WAKE WANAOTUMIKIA UISLAMU CHINI CHINI WANAENDESHA ADHIMA HIYO YA KUNYANYASA WAKRISTO.

No comments:

Post a Comment