Sunday, June 24, 2012

TUNISIA IMEMREJESHA NYUMBANI WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA LIBYA


TUNISIA IMEMREJESHA NYUMBANI WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA LIBYA, EL-BAGHDADI AL-MAHMOUDI.
BWANA AL-MAHMOUDI ALIKUWA WAZIRI MKUU KWA MIAKA MITANO KATIKA SERIKALI YA MUAMMUR GADDAFI, KABLA YA KUKIMBILIA TUNISIA MWEZI WA AGOSTI, WAPIGANAJI WA LIBYA WALIPOUTEKA MJI MKUU, TRIPOLI.
TANGU WAKATI HUO AMEKUWA GEREZANI MJINI TUNIS, HUKU WAKUU WEPYA WA LIBYA WAMEKUWA WAKIOMBA MARA KADHA KWAMBA ARUDISHWE NYUMBANI.

No comments:

Post a Comment