Sunday, June 24, 2012

HOSNI MUBARAK AAGA DUNIA

RAIS ALIYE ONDOLEWA KWA NGUVU YA UMMA NCHINI MISRI, BWANA HOSNI MUBARAK AMEAGA DUNIA JANA. MUBARAK ATAKUMBUKWA KWA UTAWALA WAKE WA MUDA MREFU NCHINI MISRI, LICHA YA KUONDOLEWA NA VUGUVUGU LA MABADILIKO KATIKA NCHI ZA KIARABU. KABLA YA KIFO CHAKE BWANA MUBARAK ALIKUA AKIUGUA SHINIKIZO LA DAMU , HII ILITOKEA MARA BAADA YA MAPINDUZI YA UMMA YALIYO FANYIKA TAHRIRI SQUARE. PIA SIKU ZA HIVI KARIBUNI JINA LA BWANA MUBARAK LILISIKIKA TENA KATIKA VYOMBO VYA HABARI BAADA YA MAHAKA NCHINI MWAKE KUMHUKUMU KIFUNGO (PENGINE HALI HIYO ILICHANGIA KUDHOROTESHA AFYA YAKE) AMBACHO NACHO KILIZUA MGOGORO WENGI WAKIUNGA MKONO WENGINE WAKITAKA KIONGEZWE WENGINE WAKITAKA ANYONGWE.

No comments:

Post a Comment