Sunday, June 24, 2012

MISHAHARA HAITOCHELEWA TENA
OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA, IMESEMA HAKUTAKUWAPO TENA UCHELEWESHAJI MISHAHARA KWA WATUMISHI WAPYA KUTOKANA NA KUFUNGWA KWA MFUMO WA MAWASILIANO YA KOMPYUTA KILA TAASISI YA UMMA.
TAARIFA HIYO ILITOLEWA JANA NA WAZIRI WA OFISI HIYO, CELINA KOMBANI, WAKATI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MJINI DODOMA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOADHIMISHWA JANA

No comments:

Post a Comment