Sunday, June 24, 2012

HISPANIA USO KWA USO NA URENO


MABINGWA WATETEZI WA EURO 2012 WALIWEZA KUISHINDA UFARANSA MAGOLI 2-0, TIMU AMBAYO WAKATI MWINGINE ILIONYESHA USTADI WAO KATIKA MCHEZO, LAKINI KWA JUMLA WAKIWA DHAIFU NA KUKOSA MBINU WALIPOLIFIKIA LANGO LA WAPINZANI WAO.
UHISPANIA, BAADA YA USHINDI HUO KATIKA UWANJA WA DONETSK USIKU WA JUMAMOSI, SASA ITAKUTANA NA URENO KATIKA MECHI YA NUSU FAINALI.

XABI ALONSO:
MFUNGAJI WA MAGOLI YOTE MAWILI

No comments:

Post a Comment