Friday, June 29, 2012

NAMANGA KAMA SYRIA


POLISI MMOJA WA KIKOSI CHA FFU AMEULIWA WAKATI WENGINE KADHAA WAMEJERUHIWA VIBAYA LEO NA RAIA WENYE HASIRA MAENEO YA TEGETA NAMANGA. PAMOJA NA SKARI, KUNA RAIA WAWILI PILA WALIOULIWA NA ASKARI HAO WA FFU HUKU WENGINE WENGI WAKIWA WAMEUMIZWA VIBAYA. HII ILITOKEA KWENYE PURUKUSHANI ILIYOANZHISHWA NA MMILIKI WA KITUO CHA MAFUTA ALIYEANZA KUVUNJA MAKAZI YA WANANCHI HAO.
YAWEZEKANA WENGI WAMEPOTEZA MAISHA YAO, ILA KWA MACHO YANGU NIMEMUONA ASKARI MMOJA KAULIWA NA WANANCHI WAWILI ILA WALIOUMIA NI WENGI SANA. HALI ILIKUWA NI MBAYA SIJAWAHI KUONA. NIMEONA ILE KWENYE TV. NILIJUA TU VITU KAMA VILE VINATOKEA AFGHANISTAN, SYRIA NA IRAQ SIYO TANZANIA. MBAYA ZAIDI RAIS MWENYE KAPITA NA KUACHA MAPAMBANO YAKIENDELEA
MAPAMBANO KATI YA POLISI NA RAIA YAMEENDELEA KWA MUDA MREFU HATA BAADA YA RAIS KUPITA, AMBAKO PIA GARI LA RAIS NA MSAFARA MZIMA LILIRUSHIWA MAWE.....INABIDI POLISI WASEME UKWELI KUHUSIANA NA HILI JAMBO.. HALI BADO TETE KWANI WANANCHI WANA HASIRA NA SERIKALI KURUHUSU MWEKEZAJI HUYU KUJICHUKULIA SHERIA MIKONONI MWAKE YA KUWAHAMISHA NA KUVUNJA MAKAZI YAO

CHANZO JF

No comments:

Post a Comment