Friday, June 29, 2012

MGOMO WA MADAKTARI

TANGU UHURU BAJETI ZETU NI KUIMARISHA AFYA YA AKINA MAMA NA WATOTO JE PICHA HII INATUONYESHA NINI HASA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MGOMO WA MADAKTARI?? NAONA MUDA WA SIASA UISHE SOTE BILA KUJALI ITIKADI TUANZE KUIJENGA INCHI YETU TUNAKOELEKEA NI KUBAYA SANA WAPENDWA SIASA IMESHINDWA KUTUKOMBOA.

No comments:

Post a Comment