Thursday, June 28, 2012

MUENDELEZO WA SHESHE LA KAMANDA ULIMBOKA 
KAMANDA KOVA AMESEMA JESHI LA POLISI KANDA MAALUM LIMEUNDA JOPO MAALUM KWA AJILI YA UCHUNGUZI NA UPELELEZI WA TUKIO HILO LA UTEKAJI NYARA AMBALO LIMEPELEKEA KUUMIZWA VIBAYA KIONGOZI WA CHAMA CHA MADAKTARI NCHIN (MAT) BW STEPHEN ULIMBOKA, KWANI NI TUKIO LA KWANZA KUTOKE NCHINI, AMEONGEZA KWAMBA WAHUSIKA WOTE WATAKAOBAINIKA KUHUSIKA NA TUKIO HILO WACHUKULIWA HATUA ZA KISHERIA NA SHERIA ITAFUATA MKONDO WAKE ILI KUKOMESHA MATUKIO MENGINE KAMA HAYA

No comments:

Post a Comment