Wednesday, June 27, 2012

WITO WA KUPANGA UZAZI NCHINI NIGERIA


Goodluck Jonathan

RAIS WA NIGERIA GOODLUCK JONATHAN ANASEMA WAKATI UMEFIKA RAIA WAKE KUPANGA UZAZI. KIONGOZI HUYO AMESEMA KUNA WATOTO WENGI SANA WANAOZALIWA NA IPO HAJA KUWEPO NA SHERIA YA KUWA NA MPANGO WA UZAZI.
AMEONGEZA WATU WASIO JUA KUSOMA WALA KUANDIKA WAMEENDELEA KUWAPATA WATOTO WENGI AMBAO WANASHINDWA KUWAPA MAHITAJI MUHIMU YA MAISHA.UMOJA WA MATAIFA UNAKADIRIA IDADI YA NIGERIA KUONGEZEKA KUTOKA MILIONI 160 HADI MILIONI 400 IFIKAPO MWAKA 2050.

No comments:

Post a Comment