Thursday, June 28, 2012

BUNGENI LEO


 

KATIKA KIPINDA CHA MASWALI KWA WAZIRI MKUU. PINDA AMESEMA KUWA HAWATARAJII KUTOA TAMKO LEO. ANASEMA BADO WANARUHUSU MAJADILIANO NA MADAKTARI LAKINI KWA HATUA ZA DHARURA WANAFIKIRIA MPANGO WA KUWARUDISHA MADAKTARI WASTAAFU KAZINI NA KUWACHUKUA WOTE AMBAO WAPO WIZARA YA AFYA. 
PIA WAZIRI MKUU AMESEMA KAULI YAKE YA "LIWALO NA LIWE" HAIHUSIANI NA KILICHOTOKEA KWA DR ULIMBOKA HIVYO WANANCHI WASIMFIKIRIE VINGINEVYO

No comments:

Post a Comment