Tuesday, June 19, 2012

KOMBE LA MATAIFA YA ULAYA


ITALIA 2 -0  JAMHURI YA IRELAND MAGOLI YA KIFUNGWA NA ANTONIO CASSANO NA "SUPER" MARIO BALLOTELLI

KWINGINEKO
Croatia na Uhispania
JESUS NAVAS WA HISPANIA ALIIFUNGIA TIMU YAKE YA TAIFA GOLI MOJA NA LAPEKEE KUFUATIA MPIRA ULIOPIGWA NA INIESTA NA KUFUNGA HIVYO KUPELEKA FURAHA NYUMBANI KWAO HISPANIA NA HUZUNI CROATIA HADI MWISHO HISPANIA 1- 0 CROATIA

No comments:

Post a Comment