Sunday, June 17, 2012

KIFO CHA PRINCE NAYEF BIN ABDULAZIZ AL-SAUD,


TAARIFA IMETANGAZWA NCHINI SAUDIA ARABIA YA KIFO CHA PRINCE NAYEF BIN ABDULAZIZ AL-SAUD, AMBAYE AKITARAJIWA KURITHI UFALME.
QASRI YA SAUDI ARABIA ILISEMA ALIFARIKI HOSPITALI KATIKA NCHI ZA NJE.
MWEZI WA MAY PRINCE HUYO ALIKWENDA USWISI KWA MATIBABU.
PRINCE NAYEF AIKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI WA SAUDIA ARABIA TANGU MWAKA WA 1975, NA MWEZI OKTOBA MWAKA JANA, AKIWA NA UMRI WA MIAKA 78, ALITEULIWA KUWA NDIE ATAYEMRITHI MFALME WA SASA, MFALME ABDULLAH.
TAARIFA ILIELEZA KUWA ATAZIKWA JUMAPILI MJINI MAKKA.

Prince Nayef

No comments:

Post a Comment