Saturday, June 23, 2012

GERMAN INAMSUBIRI WA KUPAMBANA NAE

TIMU YA TAIFA YA UJERUMAN AMBAYO INASHIRIKI MASHINDANO KWA NCHI ZA ULAYA INAMSUBIRI MSHINDI KATI YA UINGEREZA NA ITALI ILI IWEZE KUINGIA FAINALI. TIMU HIO YA UJERUMANI JANA ILIFANIKIWA KUWAFUNGA WAGIRIKI KWA MATOKEO Y 4-2 MECHI AMBAYO ILIKUA IKISHUHUDIWA NA KIONGOZI WAO BI ANGELA MERKEL.

No comments:

Post a Comment