Wednesday, June 27, 2012

DIDIER DROGBA ANAWEZA KUFANYA UHAMISHO WA KUSHANGAZADIDIER DROGBA ANAWEZA KUFANYA UHAMISHO WA KUSHANGAZA KUHAMIA BARCELONA YA HISPANIA IKIWA NI MUDA MFUPI TANGU KUSAINI MKATABA WA KUICHEZEA TIMU YA  SHANGHA SHENHUA YA CHINA.
NYOTA HUYO WA IVORY COAST, ALIACHANA NA KLABU YAKE YA CHELSEA ALIYOIWEZESHA KUTWAA TAJI LA KLABU BINGWA ULAYA NA KUAMUA KWENDA CHINA.
ALITARAJIA KWENDA MJINI BARCELONA KWA AJILI YA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAKURUGENZI WA KLABU HIYO. MAZUNGUMZO HAYO YALIPANGWA KUFANYIKA JUMANNE WIKI HII.

No comments:

Post a Comment